Search

39 results for Gasper Andrew :

  1. Asakwa akidaiwa kutupa kichanga chooni

    Jeshi la Polisi mkoani Singida, linawatafuta watuhumiwa wawili kwa kosa la kumtupa mtoto wa siku moja chooni.

  2. Afariki kwa kuchomwa mkuki katika fumanizi Singida

    Mkazi wa kijiji cha Merya Tarafa ya Ilongero mkoani Singida, Innocent Dule (49), amefariki dunia baada ya kudaiwa kuchomwa mkuki mgogoni, wakati akifanya mapenzi na mke wa mtu.

  3. Mbaroni kwa tuhuma za kumuua mwanaye wa miaka sita

    Jeshi la Polisi Mkoani Singida, linamshikilia John Musoma (30) Mkazi wa Kijiji cha Nkonko wilaya ya Manyoni kwa tuhuma kumuua mwanaye mwenye umri wa miaka sita, kwa kumpinga kichwani kwa fimbo.

  4. Mapya kifo cha mwanafunzi Udom

    Wakati Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) ikitia mguu katika uchunguzi wa kifo cha Nusura Hassan Abdallah, wazazi wake wameibuka pia kukizungumzia huku wakiibua maswali zaidi.

  5. Baba afungwa maisha kwa kulawati wanawe

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Singida imemhukumu kifungo cha maisha mkazi wa Mtaa wa Majengo, Fabiano Dubabe kwa kosa la kuwabaka na kuwalawiti watoto wake watatu.

  6. Wakongwe waingia, watupwa CCM

    Uchaguzi wa CCM ulioanza kuandia juzi ngazi ya mkoa umerejesha wakongwe wa siasa nchini huku wenyeviti kwenye mikoa minne yenye majiji -- Dar es Salaam, Mwanza, Tanga, Mbeya na Dodoma waking’olewa.

  7. Ajali yauwa watano Singida, yumo diwani wa Iramba

    Ajali hiyo ilitokea wakati basi hilo lilipokuwa likishuka kwenye mlima Saranda na kusababisha vifo vya watu watano.

  8. Wawili wajiua Singida kwa sababu za kimapenzi

    Wakazi wawili wa Tarafa ya Sepuka, Wilaya ya Ikungi mkoani hapa, wamefariki kwa kujiua kutokana na sababu tofauti. Watu hao ni pamoja na kijana, Francis Juma (20) na mzee, Hamisi Mdonko (70).

  9. Wawili wakamatwa na kilo 12 za bangi Singida

    Jeshi la polisi mkoani Singida linawashikilia watu wawili kwa tuhuma ya kukutwa na dawa ya kulevya aina ya bangi misokoto 2,619 yenye uzito wa kilogramu 12.

  10. Auawa baada ya kuuza gari mnadani

    Mfanyabishara na mkazi wa mtaa wa Kipondoda Wilaya ya Manyoni mkoani Singida, Sita John (45) amefariki dunia na mkewe kujeruhiwa baada ya kupigwa na kitu chenye ncha kali na watu wasiojulikana.

Page 1 of 4

Next